Nani mmiliki wa Dizzim Tv na Radio

MICSIMON

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Wakuu ni nani mmiliki wa dizzim media.
na why wako karibu sana na wcb?
 
Media zimekuwa kama (Tecno) ukiwa na Microphone tu unaanzisha Radio/Tv.

Sijui Mmiliki ila nilisikia ina uhusiano wa karibu na Mwanamfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…