Nani mmiliki wa Gazeti la Raia Mwema?

Nani mmiliki wa Gazeti la Raia Mwema?

Manu.

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
689
Reaction score
180
Kwa muda mrefu Tangu kuanzishwa kwa Chama kipya cha Act. Gazeti la Raiamwema limekuwa likitoa Coverage kuubwa kwa viongozi waandamizi wa haka kachama ambako kanapingana na upinzani. Hususan Kitla Mkumbo, Zitto Kabwe na Samson Mwigamba.

Je ni nani hasa mmiliki na ana maslahi gani na ACT????
 
NI GAZETI HURU,LENYE WAFANYAKAZI WACHACHE WACHAGA.i
 
Gazeti la Ulimwengu lakini sidhani kama ana interest. Ila Kitila ana Makala zake huandika humo. Kwa sababu ni ka chama kachanga, Ngoja kapewe airtime, au sio?
 
Zitto ana hisa ila ni gazeti la jenerali ulimwengu akiwa mwanasiasa aliyekwishachuja zamani na hana sera zaodi ya kunywa mapombe tu
 
Inasemekana ni gazeti la Jenerali Ulimwengu, aliyelianzisha baada ya kuyapiga bei magazeti yake ya awali ya Mtanzania na Rai, ambayo alimuuzia bilionea Rostam, baada ya serikali ya awamu ya tatu ya Ben, kumpa kibano kikali sana cha 'kumpora' uraia wake, kutokana na gazeti lake la Rai la wakati ule kuandika makala kali za kuishambulia serikali ya magamba.
 
Ulimwengu anajishushia hadhi.... anyway siyo mbaya na yeye akalamba fedha za ESCROW kupitia Raiamwema..
 
Ni gazeti la Jenerali Ulimwengu na wenzake, ila ni miongoni mwa magazeti yaliyotishwa kunyimwa matangazo ya serikali.
Ndio hivyo wakalegeza misimamo na kupewa ofa ya matangazo hadi wakaweza kutoa na gazeti la kila siku la Raia Tanzania.
Hivyo, wanachofanya ni kuhakikisha wanaandika habari za kuipendeza serikali na chama tawala.
Ova
 
Hata ulimwengu anahitaki kula,ila naona zzk kapenyeza rupia
 
Manu...wewe umeona habari za ACT tu? Hujaona kila toleo karibia mwezi sasa wanatoa pia za "kumponda" Lowassa kiaina?
 
Raia mwema gazeti huru na makini lilinalozingatia weredi wa kazi,napenda makala zake zimesheheni utafiti wa kina kuliko gazeti lolote Tanzania. Mleta mada uwe tayari kusikia usichopenda kusikia.
 
Inasemekana ni gazeti la Jenerali Ulimwengu, aliyelianzisha baada ya kuyapiga bei magazeti yake ya awali ya Mtanzania na Rai, ambayo alimuuzia bilionea Rostam, baada ya serikali ya awamu ya tatu ya Ben, kumpa kibano kikali sana cha 'kumpora' uraia wake, kutokana na gazeti lake la Rai la wakati ule kuandika makala kali za kuishambulia serikali ya magamba.

Unafikiri walimuuzia kwa hiari basi? Kuna changa la macho fulani walipigwa, ambalo akina Salva walilifanya bila akina JU kushtukia mchezo.
Waliona ni magazeti yanayochana sana serikali, wakaaiingiza katika madeni kwa akina Salva kukopa ovyo na kuingiza kampuni kwenye madeni makubwa.
Yaani Wakurugenzi walikopa kopa kwa udhamini wa kampuni, sasa madeni yalipokuwa hayalipiki ndo akina Salva wakashauri wauze hisa fulani kwa RA.
Waliuza nyingi na RA ili walipe madeni na kukwepa kampuni kufilisiwa, so RA akawa na nguvu ya maamuzi, ndio akawa anawaingiza chaka.
RA akawa anaipeleka biashara kwa kuwapiga machanga ya macho hadi ikawa inasoma hakuna faida kabisa, ndio akina JU wakaamua kuuza hisa zao zilizobaki kwa RA na kuanzisha Raia Mwema.
Wakati huo Salva tayari alishalipwa mshahara wa kuwa nyumba nyeupe baada ya kazi nzuri ya kufanya mchongo wa kumtumbukiza RA Habari Corpo.
Ova
 
Jenerali Twaha Ulimwengu ni mwenyekiti wa bodi ni wa Kagera
Hivi kwanin naye anaficha jina TWAHA?AU ndio yale yale ya MKwawa,Kinjekitile Ngwale..wauza watumwa wakuu waliojigeuza kuwa wapigania haki za mwafrica?Hii nchi ilishaoza long time.
 
Back
Top Bottom