NI GAZETI HURU,LENYE WAFANYAKAZI WACHACHE WACHAGA.i
Mbowe ndo mmiliki wa gazeti
Inasemekana ni gazeti la Jenerali Ulimwengu, aliyelianzisha baada ya kuyapiga bei magazeti yake ya awali ya Mtanzania na Rai, ambayo alimuuzia bilionea Rostam, baada ya serikali ya awamu ya tatu ya Ben, kumpa kibano kikali sana cha 'kumpora' uraia wake, kutokana na gazeti lake la Rai la wakati ule kuandika makala kali za kuishambulia serikali ya magamba.
Hivi kwanin naye anaficha jina TWAHA?AU ndio yale yale ya MKwawa,Kinjekitile Ngwale..wauza watumwa wakuu waliojigeuza kuwa wapigania haki za mwafrica?Hii nchi ilishaoza long time.Jenerali Twaha Ulimwengu ni mwenyekiti wa bodi ni wa Kagera