Wana JF katika pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi, nikajiuliza je waziri kumiliki kiwanda sio ufisadi nao?
Naomba anayejua zaidi kuhusu hiki kiwanda na uhusiano wake na huyu mtu atujuze kama kweli ni chake namshauri na Lowassa amgeuzie kibao kwani ni fisadi pia.
Sita Steel Rollings Ltd
Nawakilisha
Naomba anayejua zaidi kuhusu hiki kiwanda na uhusiano wake na huyu mtu atujuze kama kweli ni chake namshauri na Lowassa amgeuzie kibao kwani ni fisadi pia.
Sita Steel Rollings Ltd
Nawakilisha