Du una uelewa mdogo kweli wewe? Kwanza hujui kuwa ni kiwanda chake au vipi, harafu hata dhana yenyewe ya ufisadi huijui. pole lakini mdogo mdogo utafika
Wana jf katikav pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi,nikajiuliza je waziri kumiliki kiwanda sio ufisadi nao?Naomba anaejua zaidi kuhusu hiki kiwanda na uhusiano wake na huyu mtu atujuze kama kweli ni chake namshauri na lowasa amgeuzie kibao kwani ni fisadi pia
Nwawakilisha
Wana jf katikav pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi, nikajiuliza je waziri kumiliki kiwanda sio ufisadi nao?
Naomba anayejua zaidi kuhusu hiki kiwanda na uhusiano wake na huyu mtu atujuze kama kweli ni chake namshauri na Lowassa amgeuzie kibao kwani ni fisadi pia.
Sita Steel Rollings Ltd
Nawakilisha
Mbona 'umri' wa mleta uzi haufanani na alichoandika!?Join Date : 6th May 2009
Posts : 619
Rep Power : 670
Likes Received56
Likes Given
3
Wana jf katikav pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi, nikajiuliza je waziri kumiliki kiwanda sio ufisadi nao?
Naomba anayejua zaidi kuhusu hiki kiwanda na uhusiano wake na huyu mtu atujuze kama kweli ni chake namshauri na Lowassa amgeuzie kibao kwani ni fisadi pia.
Sita Steel Rollings Ltd
Nawakilisha
Mbona 'umri' wa mleta uzi haufanani na alichoandika!?