Nani mmiliki wa Primefuels (T) Ltd?

Hivi huwa hamjuwi kama data za makampuni yote yaliyosajiliwa Tanzania hupatikana pale BRELA?
Asingeuliza usingejibu kumbe ndiyo maana kauliza ili ujibu. Nenda BRELA sasa utuletee jibu maana unajua linapopatikana.
 

Hii ni kampuni iliyoanzia Kenya na kwa mara ya kwanza ilianza kufanya kazi na Shell Tanzania wakipeleka mafuta mgodi wa dhahabu wa Geita. Baada ya Shell kupoteza mkataba, BP walilithishwa yote yaliyokuwepo ikiwemo mkataba wa usafirishaji wa mafuta, hivyo Primefuels iliendelea kuwa transporter wa mafuta ya GGM. Hivi karibuni mkataba ulifanyiwa marekebisho na kuipata nafasi Primefuels kufanya kazi moja kwa moja na GGM badala ya kupitia kwa supplier wao wa mafuta. Sina hakika kama Primefuels inafanya kazi na Barrick, ila wanapeleka mafuta mengi Zambia, DRC Congo na hata Mtwara kwenye operations za RIG za utafiti wa mafuta.
 


... Ni kweli. Mtu kukuambia 'You are Thick' ni sawa tu na kukuambia 'Wewe ni Mbulula ama Zumbukuku', kitu kama hicho, na kamwe si neno jema wala la kistaarabu kulitumia kwa mwenzako ambaye ameuliza tu swali. Huna jibu, unapita tu kwa Amani. Heshima ni Kitu cha Bure Wandugu.

 
Are you thick or something!!!!??????
Wewe inakuhusu nn hata zikiwa elfu, Wabongo mmejaa majungu tu, fanyeni kazi mnunue ya kwenu. Hamkawii kusema RA na EL kwa jinsi mlivyo wazito kufikiri.
Shame on you......

Wewe ndio una matatizo ya akili,we unajua kauliza kwa nia gani
mpaka uhar.e kiasi hicho
 
muhusika yupo dubai anaitwa asif na hadya sasa hivi ni manager wa tanzania zamani alikuwa operations manager . mkuu wa nchi naye nasikia ana kamchango kake humo
 
Wadau habarini za kazi..nmekua nikikutana sana na misululu ya haya magari hasa kwa njia ya kanda ya ziwa yaan yapo mengi kiasi cha mimi kufikia kushangaa. So mwenye details zaidi anipe nani mmiliki wake japo nipate kumfaham mtanzania mwenzangu mwenye uwekezaji mkubwa kwenye sector ya mafuta.
ATTACH=full]340579[/ATTACH]
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1461055707.000460.jpg
    43.4 KB · Views: 75
wakuu, mada kama hizi za kidada dada zinafuataga nini kweli hili jukwaa la intelligence???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…