JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Kwanza kabisa hatuna sheria za mahakama, sheria ni za nchi, kama hakuna wosia mali zitagawanywa kwa wale wenye maslahi na marehemu yaani watoto wote 2 baba na mama wa marehemu na kadhalika, kama wosia upo utafuata wosia wa marehemu, kama marehemu ni muislamu sheria za kiislamu zitatumika na mgawanyo upo kwa mujibu wa sheria za kiislam na chanzo cha sheria za kiislamu ni QuruanEndapo baba akifariki akaacha watoto wawili wakike (18 ) na wakiume (18 ), lakini hajaacha wosia uridhi wa ardhi ya marehemu itaridhiwa na mtoto yupi? Au watoto wote?
Je endapo marehemu akiacha wosia wa kumuachia mali yote mtoto mmoja tu wakiume, mahakama inaweza vunja wosia endapo watoto wengine wa marehemu wakifungua kesi ya madai?
Kwanza kabisa hatuna sheria za mahakama, sheria ni za nchi, kama hakuna wosia mali zitagawanywa kwa wale wenye maslahi na marehemu yaani watoto wote 2 baba na mama wa marehemu na kadhalika, kama wosia upo utafuata wosia wa marehemu, kama marehemu ni muislamu sheria za kiislamu zitatumika na mgawanyo upo kwa mujibu wa sheria za kiislam na chanzo cha sheria za kiislamu ni Quruan
Endapo baba akifariki akaacha watoto wawili wakike (18 ) na wakiume (18 ), lakini hajaacha wosia uridhi wa ardhi ya marehemu itaridhiwa na mtoto yupi? Au watoto wote?
Je endapo marehemu akiacha wosia wa kumuachia mali yote mtoto mmoja tu wakiume, mahakama inaweza vunja wosia endapo watoto wengine wa marehemu wakifungua kesi ya madai?