Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hapa umeongea kihasibuUnajiuliza hii ni timu au kundi la bodaboda
Aaaah Mwasibu CPA UCHWARA SUNZU BOBAN ovyo kabisa.Unajiuliza hii ni timu au kundi la bodaboda
Nini tofauti kati ya Msemaji na Afisa Habari.Uongozi utwambieView attachment 3057460
Bundi ni Haji Manara maana ana nuksi kibao kila mwaka anakimbiwa na mke na balaa la kufungiwa na TFF, na Ngedere ni Ally Kamwe kwa vile ni kijana ni mwepesi kuruka viunzi. Ila kwa mwaka huu Bundi atawatia gundu nyuma mwiko.Uongozi utwambieView attachment 3057460