Nani mshindi?

Nani mshindi?

Joined
Jan 6, 2013
Posts
6
Reaction score
0
NANI MSHINDI??
Elimu ni nguzo muhim sana katika maisha ya binadam maana huondoa ujinga na kuingiza maarifa ambayo ndo msingi wa maendeleo ya taifa, taifa lisilokua na wasomi huishia kuwa maskini hata kama lina rasilimali kiasi gani kwani techologia ya kubadilisha rasilimali zile kua bidhaa ya kununulika tayari kwa matumizi ya kila siku ya wananchi wake hununuliwa ghali sana kitu ambacho hukosa tija.
Tanzania kama nchi nyingine za dunia imejaliwa rasilimali za kutosha na kingekuwepo kikomo cha nchi kuwa na rasilimali basi Tanzania tungeesabiwa katika nchi zilizokithiri kwa kuwa na rasilimali nyingi duniani bado ni maskin sana, MAAJABU.
Achilia mbali maajabu kama mlima KILIMANJARO na NGORONGORO CRATER lakini kwa sasa Tnzania imekua n maajabu mengine mapya na unique kuliko kawaida kama WANAFUNZI KUFAULU DARASA LA SABA BILA KUJUA KUSOMA, naamini hili lingepata wa2 wa kulipigia debe lingeshinda pia kama ajabu mpya duniani, tujiulize yanatoka wapi haya yote, NANI MSHINDI?
HAYA YANATOKEA KWANINI??
Ualimu sio wito tena bali ni taaluma tena kibaya zaidi vijana wengi sana tunakimbilia ualim baada ya kuona kua taaluma zingine za vyuo uwezekano wa kupata mkopo wa masomo kutoka BODI ya mikopo ya elim ya juu nchini haina uwezo ama kwa mfumo uliopo au kwa ufinyu wa bagdet ya nchi kushindwa kutenga kiwango cha kutosha kwa ajili ya elimu. Mishahara ya walimu na vitendea kazi vingine vya kuendeleza elemu endelevu kukosekana, mishahara midogo na kukosekana kwa ALLOWANCES kwa walimu kunaendelea kupunguza motisha wa kufundisha maana wako busy kuwaza jamii zao zitakula nini kesho, mawazo kama haya yananyima ufanisi katika kazi, kazi ambayo haikulipi vya kutosha huwezi kuwa na moyo kuifanya maana inakua kama utumwa walimu wakidai haki zao za malipo na maisha bora ya kazi utasikia, hatuna uwezo na hilo kwa sasa lakini budget itakapo ruhusu tutafanya! Itaruhusu lini, tatizo taifa halitoi elimu kulingana na mahitaji ndo maana elimu imeshindwa kuzalisha wasomi wa kubuni biashara mpya, ajira na hata kuleta mapinduzi ya viwanda ambayo yataongeza pato la nchi na hatimaye kuweza kufanya mambo yote muhim.
Shule za kata zilikua na lengo nzuri sana la kuhakikisha watanzania wengi tunapata elimu ya secondary lakini hatimaye tunaishia kufeli baada ya serikali na wazazi kupoteza mali nyingi kuandaa vijana kumbe bila kujua tumekosea tumewahi uwanja ambao sio wenye mchezo na kusema tupewe point za mezani kwani wapinzni hawajatokea kumbe tumekosea uwanja. Nani mshindi?
Matokeo ya kidato cha nne kila mtu ameyaona na yamemgusa kama sio kaka, dada, mjomba au binam basi msiba wa taifa na wewe upo ndani, zaidi ya 60% wamepata zero sawa kumchukua mwanakijiji wa kawaida na akafanya mtihani angepata hiyo hiyo zero, kumbe sasa elimu waliopata ni bure kabisa haina matunda matamu kwa taifa bali SHUBIRI wazazi wakikataa kupeleka watoto wao shule wanaojua kabisa kuwa wamefaulu kwa mindombinu wanashtakiwa.
Walimu kusomeshwa kwa gharama za serikali ni mwisho kutopata ajira eti wamesoma somo moja serikali ilikua wapi wakati course hizo zinaanzishwa na kuwasomesha wakati wanajua hawata waajiri, kwanini wasingeweka kozi ambazo wana mahitaji nazooo???? Na wakati huo wanaachwa bila ajira kuna shule zina mwalimu mmoja vijiji anaudumia wanafunzi zaidi ya 150
Mimi nimesoma form one hadi four niliwahi kuona wakaguzi wa shule mara moja tu, wanafanya nini hawana majukum au hakuna wa kuwawajibisha ni uzembe au labda ndo kazi zinavyofanywa kwa wenzetu wanaenelea? Serikali yetu sikivu lakini cjui inasikia nini embu sasa iamke na kushughulikia hili donda ndugu maana lita tuuwa wote,
MAPENDEKEZO
Wizara ya elimu ifumuliwe yote kuanzia kuweka mitaala kuendana na mahitaji ya taifa na sio sifa ya kuwa na vitu vingi usivyovitumia, na uongozi mzima tuondolee watu wasiojua hata historia ya nchi yao wanaliaibisha taifa,
Majukumu ya wakaguzi wa elimu wilayani na mikoani yaangaliwe upya kama hakuna sababu ya msingi kuwepo hizo ofisi zifunge maana hazina kazi, sijasikia ofisi hata moja imeshauri serikali kuhusu mfumo na mwenendo wa elimu huko mashuleni kumbe wao wanaona ni sahihi.
Kuwepo na malengo ya taifa tuweke propaganda za vyama pembeni tunapofika kwenye utekelezaji tuwe na vitu ambavyo wanasiasa tunawataka watekeleze na sio fikra za mtu mmoja zisumbue jamii nzima ya watanzania.
Tuweke somo la kilimo na biashara kwenye mitaala na liwe LAZIMA ili tuwe na uhakika wa kuwa na wakulima na wafanyabiashara wa kisasa wenye kujua mbinu za ushindani tupunguze safari za kwenda nje ya nchi wakati tunao walim wetu humu ndani hyo ni kudharau elim yetuna haiongezi tija bali kuongeza mzigo wa gharama za serikali mbaya zaidi wanaoenda hawana mda na hicho wanachoenda kijifunza ni kula pesa zetu tuu.
SWALI
Je kwa matokeo haya ya kidato cha nne tuko tayari kuingia kwenye soko huru la jumuiya ya afrika mashariki? Tutapata ajira au ndo tutatawaliwa?NANI MSHINDI??

Je kwa matokeo haya ya kidato cha nne tuko tayari kuingia kwenye soko huru la jumuiya ya afrika mashariki? Tutapata ajira au ndo tutatawaliwa?
 
Back
Top Bottom