Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mahakama! sasa ndiye huyo Ibrahim Juma alimuogopa Jiwe kuliko anavyomuogopa MunguWadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya KATIBA ya NCHI Nimeamua nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya USIMAMIZI
wa KATIBA ya NCHI.
Swali langu ni:
JE NI NANI MWENYE MAMLAKA KISHERIA ya KUISIMAMIA KATIBA YA NCHI ILI KUHAKIKISHA HAIVUNJWI NA KUCHEZEWA? Na Iwapo itachezewa ATACHUKUA Hatua Gani?
18 (1) katiba wananchi ndio msingi wa mamlaka yote . viongozi wote watapata mamlaka yote kutoka kwa wananchi . Tatizo wananchi hawajielewi kuwa wao ndio wenye mamlaka yote .
Ni MAHAKAMA.Wadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya KATIBA ya NCHI Nimeamua nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya USIMAMIZI
wa KATIBA ya NCHI.
Swali langu ni:
JE NI NANI MWENYE MAMLAKA KISHERIA ya KUISIMAMIA KATIBA YA NCHI ILI KUHAKIKISHA HAIVUNJWI NA KUCHEZEWA? Na Iwapo itachezewa ATACHUKUA Hatua Gani?
Msimamizi wa katiba ni mvunjaji katiba Kama alivyo msimamizi wa sheria ndiye huyo mvunjaji wa sheria yaani CCM Na serikali zakeWadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya Katiba ya nchi, nimeamu nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya usimamizi
wa katiba ya nchi.
Swali langu ni:
Je, ni nani mwenye mamlaka kisheria ya kuisimamia katiba ya nchi ili kuhakikisha haivunjwi na kuchezewa? na iwapo itachezewa atachukua hatua gani?
Kuna wengi sana hawafahamu kuwa kupata HAKI, ni haki yao/zao kwa mujibu wa Katiba na sio zawadi wala msaada kutoka mtawala.18 (1) katiba wananchi ndio msingi wa mamlaka yote . viongozi wote watapata mamlaka yote kutoka kwa wananchi . Tatizo wananchi hawajielewi kuwa wao ndio wenye mamlaka yote .
Nawashukuru sana wote mliochangia Suala hili la Katiba tuzidi kuelimisha kwa yale tusiyo yajuaHakuna
Mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuilinda Katiba na Sheria zote za nchi. So, kama kuna ukiukaji wa Katiba ya nchi basi anayeona kuna uvunjaji wa ibara fulani anaweza kupeleka shauri mahakamani kuitaka ikemee kitendo hicho.Wadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya Katiba ya nchi, nimeamu nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya usimamizi
wa katiba ya nchi.
Swali langu ni:
Je, ni nani mwenye mamlaka kisheria ya kuisimamia katiba ya nchi ili kuhakikisha haivunjwi na kuchezewa? na iwapo itachezewa atachukua hatua gani?