Nani msimuliaji bora siku zote hapa JF?

Hapa ni lazima kuwe na utofauti kimtazamo na sehemu nyingine.Kwa mfano,mimi napenda mtu aliye msimuliaji/muelezaji wa moja kwa moja.Specific and to the point!Mambo ya kuwa so elastic,hapana!
Vilevile,napendelea msimuliaji ahusanishe anachokikusudia kwa mifano/rejea chache.Siyo simulizi moja Ina "sub-simulizi" thelathini humohumo.
Wakati huohuo,napenda msimuliaji awe na muendelezo/asongeshe mbele simulizi.Siyo kurudiarudia jambo au mambo utadhani anamfundisha taahira.Kukumbusha kusizidi!
Msimuliaji vilevile awe mkomavu katika kusiimulia na kuelewa.Kwamba,anaowasimulia aelewe wapo katika umri tofautitofauti,udakaji wa points tofauti.Na hata umri na majukumu wanatofautiana.Kwa ufupi,asijifunzie kwangu kusimulia.
Hata hivyo,leo sishindanishi mtu na mtu.Siku nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…