Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kutengeneza mabango(digital billboards) hasa mwenye uwezo wa kuliwamba bango hadi liwake ili tushirikiane kibiashara.Niliwahi kufanya kazi hiyo maeneo fulani Dar ambapo mi ni mtaalam kwenye Graphics Design (kudesign artworks) but kwenye kuwamba bango sina uzoefu.So nikipata mtu wa namna hiyo itakuwa vyema ambapo tutashare cost kwa makubaliano tutakayokuwa nayo.Nna baadhi ya vifaa kadhaa eg Computer,Mashine ya kutatia Stika,etc.Kuhusu kuprint large formats kuna Sehemu huwa naenda kuprint kwa bei rahisi so sio tatizo.Kama uko interested nitafute kwa Hii namba tuongee zaid 0717995793.
#NB : Nipo Dar so partner pia awe Dar
#NB : Nipo Dar so partner pia awe Dar