Nani mtoa huduma bora ya Mizigo kwa ndege na meli kutoka China?

Nani mtoa huduma bora ya Mizigo kwa ndege na meli kutoka China?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Wakuu,

Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa UNIQUE CARGO awali walikuwa wanafanya vema lakini kwa siku za karibuni naona wanasua sua. mzigo wa ndege unafika baada ya mwezi au zaidi na huduma zao za customer care kama haziko normal.

Niombe anayejua kampuni nyingine hasa inayowaisha mizigo na ina office China na Tanzania naomba kuijua.

Note:Isiwe wale wanaotaka kutumiwa fedha wao ili wanunue kwa niaba, nataka wale wanakupa china address mimi namtumia tu suplier
 
Ratiba mpya, whatsApp +255 697 692 507
IMG-20241221-WA0001-1.jpg
 
Back
Top Bottom