Wote wabaya lakini kuna afadhali. Yule anaekwenda kwa mchawi/mganga kumroga mtu ni lazima ana kisa nae huyo anaekwenda kumroga lakini wachawi waduanzi sana, wanaweza kuja kukuchezea chezea tu kukulimisha mashamba yao wala huna kisa nao.....shenziiiiiiii kabisa hawa watu!!