Nani muislamu humu?

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
466
Reaction score
1,033
Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena,
nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
Halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena, "nani mwislamu hapa?"
waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu, Imam
akasema, "jamani mi kuswalisha siku mbili tu ndo mniite mwislamu?" mi hapa najifunza tu" halafu
jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi wangu"
 
Unafanya masihara nini kifo hakina dini ...
Lazima kila mtu atetee uhai hapo
 
Unaakili timam ww unajua kama dini yetu haifanyiwi dhihaka
 
Hiyo imekaa bomba zaidi
 
HA HA HA A HA HAH AHA HA


HA HA
haha ha teyhetehete tegtetetteetttt te te et et ett e hha ah aha aha a

do noumer sana
 
Kha aende kwa msikiti wanaosali mashababi aone kama hilo panga hajalidondosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…