Nani muuaji?

Nani muuaji?

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
238
Reaction score
387
Changamsha bongo na panua IQ yako. Ukitazama picha (hapo chini) kwa makini, unaweza kujua ni nani muhusika wa kifo cha huyo mwanamke? Je ni 1, 2, 3, au 4? Toa sababu zako.

fbc0439e9126de750a8d8218ea936a31.jpg
 
Tushaifanya hii
Muuaji ni 4...hana kisu,shingoni anamkwaruzo na shati lake limechanika ..
 
Back
Top Bottom