Lawama zimekuwa zikielekezwa ktk pande mbili. Wanawake wanawashutumu wanaume kuwa sio waaminifu ktk ndoa zao. Nao Wanaume wamekuwa wakiwashutumu Wanawake kuwa wanatamaa na sio waaminifu, Wana JF mnasemaje?
Acheni hayo mambo ya kipuuzi tushughulike na mambo nyeti kwanza. Hakuna relationship scenarios zinazofanana. Kila watu wana mwanzo na mwisho wa kipekee (unique). You can't generalise.