Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
hii style si ndo inaitwa DAB,yaani Daudi Albert BashiteHabari zenu wanajamvi,
Nilikuwa nauliza nan mwanzilishi wa hizi staili maana wanatumia watu wengi mpaka watoto wa chekechea?
Asanteni
Hahaha nchi gani mkuuStaili ya kipumbavu sana hii, naona rais wa nchi jirani naye huwa anatumia izo swag.
Nahisi ni Uhuru Kenyatta maana msela sana yuleStaili ya kipumbavu sana hii, naona rais wa nchi jirani naye huwa anatumia izo swag.
Uhuru KenyattaHahaha nchi gani mkuu
Kirikuu