Skyblue
Senior Member
- Jan 3, 2014
- 196
- 55
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa.
Nimwaza sana juu ya elimu yetu ila nahisi bora tungekuwa nakitu kingine badala ya elimu.
Naomba mnisaidie kama heading inavyosema.