Nani mwenye jukumu la kufuatilia michango ya NSSF?

Nani mwenye jukumu la kufuatilia michango ya NSSF?

fredymahenge

Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
70
Reaction score
28
hivi ni nani mwenye jukumu la kufuatilia ili kuhakikisha michango ya NSSF inaingia?
1, mm mwanachama? au
2, nssf wenyewe
maana utakuta mwajiri hajaingizaichango zaidi ya mwaka na ukiuliza nssf wanakodoa macho.
jukumu hili ni la nani?
 
Back
Top Bottom