fredymahenge Member Joined Nov 19, 2014 Posts 70 Reaction score 28 May 16, 2015 #1 hivi ni nani mwenye jukumu la kufuatilia ili kuhakikisha michango ya NSSF inaingia? 1, mm mwanachama? au 2, nssf wenyewe maana utakuta mwajiri hajaingizaichango zaidi ya mwaka na ukiuliza nssf wanakodoa macho. jukumu hili ni la nani?
hivi ni nani mwenye jukumu la kufuatilia ili kuhakikisha michango ya NSSF inaingia? 1, mm mwanachama? au 2, nssf wenyewe maana utakuta mwajiri hajaingizaichango zaidi ya mwaka na ukiuliza nssf wanakodoa macho. jukumu hili ni la nani?