Nani mwenye kosa?!


Oh Asha D big sory dadaangu, i didnt mean so. Just leave it.
 
Kama siyo hadithi ya kutunga basi hii imevunja mwaka. So Mda wote mdingi hakujua kuwa ana do na mtoto wake? Yaani gemu ilikuwa kimya kimya haina stori hata kidogo?

Mestod pombe ndug yangu, after all hata kama kashtuka wakati washapiga ka 2 itasaidia nini?
 
Duh makubwa madogo yana nafuu! Wote wanamakosa ila Mzee kazidi maana umri alionao alitakiwa aache pombe na uasharati pia aliwajibika ampe mahitaji ya muhimu mwanawe kwa ajili ya masomo ingawa hapa hatuna uhakika kama alikuwa akimtimizia ama laa maana watu wengine wanaweza kupewa kila kitu kinachohitajika kwenye masomo lakini akajiuza ili apate cha juu. Binti naye hakupaswa kujiuza kirahisi hivyo maana anajijengea misingi mibaya. Watafutaji (makuwadi) nao wanabeba lawama na dhambi za wote wawili pasu kwa pasu!
 

naona wahudumu hawana makosa kwani wao waliagizwa tu,
2. Kwa ni huyu dada kama msomi afanye ukahaba? Haoni kama anadhalilisha wasomi wenzie? Tena jiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…