Nani mwenye makosa?

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Nani mwenye makosa kati ya Mwanamke aliyelala na Mumewe akawa nanaota ghafla akapiga kelele"Jifiche mume wangu kaja nagonga"Mwanamme aliposikia hiyo kelele akakurupuka na kurukadirishani na kugungua "Alaaa kumbe niko kwangu na nimelala na mke wangu"?
 
Du, we Pearl mtata sana. anyway wote wana makosa. dhamira zao zina hofu.
 
m'mke ana makosa zaidi, asingekurupuka hata m'ume asingeshituka!
 
ahahahhhh unanikumbusha kisa cha mama mmoja(jirani tu) yeye aliota na kuanza kuongea : "nishike vizuri kiunoni, Peter!" mme wake alimuamsha kwa fujo! "Huyo Peter yuko wapi?" Ilitokea vurugu isiyo na mfano!!!
 
hii JF wakati mwingine inashangaza kweli kweli lol!
 
mwanaume.kwa kuwa mwanamke anaweza akasema hakuwa na uwezo wa kudhibiti ndoto.mwanaume alisikia, kwa hiyo alikuwa na akili yake.
 
Nani mwenye makosa kati ya Mwanamke aliyelala na Mumewe akawa nanaota ghafla akapiga kelele"Jifiche mume wangu kaja nagonga"Mwanamme aliposikia hiyo kelele akakurupuka na kurukadirishani na kugungua "Alaaa kumbe niko kwangu na nimelala na mke wangu"?

Pearl hiyo avatar yako ndo pichako?
 
Hao wote wana makosa hao, hakuna kuoneana, maana inaonekana hawana uaminifu wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…