Nani mwenye makosa?

mke atakuwa ana mtu nje ya ndoa au anafikiria kuwa na mtu.
 
Hakuna swali hapo. Unataka ujibiwe nini? Ndoto huja kutaoakana na mafikara ya mchana na reaction ya mume, swali liko wapi?
 
Hakuna mwenye makosa Pearl. Hiyo ni ndoto tu...

Hayajakufika!

Mamsap kakuhesabisha mbao za dari alafu unamsikia ndotoni analalama "Jamani James tamuuuuuuu! " ilhali weye sio James na humjui!

Kua uyaone!
 
wote wana makosa maana inaonesha wote wanapenda kutoka nje ya ndoa zao, kwa maana nyingine c waaminifu wa ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…