Nani mwenye Uchungu na Rasilimali za hii nchi? Machozi ya Mamba yamekuwa mengi

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Swali la msingi je ni nani ana uchungu rasiliamali za hii nchi?

RAIA-Raia wa Tanzania walipaswa kuwa wa kwanza kwa uchungu ika hili silioni kabisa, raia tuko busy kujadili Yanga na Simba ilihali watu wana fisidi nchi na ndugu zetu hasa Wazazi wetu ambao wengine walipigania slustawi wa Tanzania wakiwa wafanya kazuli enzi hizo sasa wana ugulizia umasikini wa kutisha ilihali kuna wajanja wanapoga Billion of Money na hakuna wanacho fanywa.

Raia ni Mazezeta, full limbwata so hatuna uchungu na hii ya kulialia humu ni danganya toto na kilio cha mamba tu hakuna mwenye uchungu hata mmoja tusidanganyane humu.

BUNGE - Hawa walipaswa kuwa wasimamizi wakuu wa rasilimali, ila kwa hili Bunge ambali ji moja kati ya mambunge dhaifu Duniania hakuna cha maana hapa, mara 100 hata Bunge la Burundi au Somali wako serious kiasi kuliko hili bunge la kusifu na kuabudu.

UPINZANI- Upinzani ni Ideology sawa, lakini tunaamini upinzani ni wakina Mbowe, Ok iwe hivyo, Je Upinzania ukiitosha Maandamano kama Kenya kuna atakaye toka Barabarani? Ukweli ni kwamba hakuna atakaye toka hata mmoja, Hivyo mimi siwalaumu upinzani kwa sababu Upinzani wanahitaji Sapoti ya Raia ambayo haipo kwa sababu ya Uzezeta.

RAISI?- Inafaa kuwa hivyo, but Mama Samia anatuzuga na kilio cha Mamba, Mama hayuko Serious na ufisadi, na shahidi zipo nyingi sana za kuprove hili, Mama ni very weak , Bora hata JK aliwafunga wakina Mramba ile Danganya toto, ila mama hata Danganya toto haiwezi.

So kwa kifipi kwa hii nchi hakuna mwenye uchungu hata mmoja tusidanganyane humu na vijipost vya kulalamika lalamika, hakuna hata mmoja.
 
Nilishawaambieni kuwa nchi ambayo ni United republic watu wake huwa hawana uchungu na rasilimali za nchi, nadhani mnaona jinsi watu wanavyojipigia mabilion. Haya yote yataisha kama tutaamua kuwa republic na sio united republic!
 
Machozi ya samaki hayaonekani kamwe.
 
Tuko bize na ushoga kwa sasa. Mambo ya dhahabu hayatuhusu tumemuachia samia.

Sisi tunataka habari za kupambana na vinyesi vya mashoga.
 
Hapo kwenye Yanga na Simba umesema kweli.

Yaani Watu wanabishana siku nzima kuhusu mpira tu kama tumerogwa vile.

Wajanja wanapiga mabilioni ya Taifa, wajinga wanabaki kubishania Simba na Yanga tu.
 
Swali la msingi je ni nani ana uchungu rasiliamali za hii nchi?

RAIA-Raia wa Tanzania walipaswa kuwa wa kwanza kwa uchungu ika hili silioni kabisa, raia tuko busy kujadili Yanga na Simba ilihali watu wana fisidi nchi na ndugu zetu hasa Wazazi wetu ambao wengine walipigania slustawi wa Tanzania wakiwa wafanya kazuli enzi hizo sasa wana ugulizia umasikini wa kutisha ilihali kuna wajanja wanapoga Billion of Money na hakuna wanacho fanywa.

Raia ni Mazezeta, full limbwata so hatuna uchungu na hii ya kulialia humu ni danganya toto na kilio cha mamba tu hakuna mwenye uchungu hata mmoja tusidanganyane humu.

BUNGE - Hawa walipaswa kuwa wasimamizi wakuu wa rasilimali, ila kwa hili Bunge ambali ji moja kati ya mambunge dhaifu Duniania hakuna cha maana hapa, mara 100 hata Bunge la Burundi au Somali wako serious kiasi kuliko hili bunge la kusifu na kuabudu.

UPINZANI- Upinzani ni Ideology sawa, lakini tunaamini upinzani ni wakina Mbowe, Ok iwe hivyo, Je Upinzania ukiitosha Maandamano kama Kenya kuna atakaye toka Barabarani? Ukweli ni kwamba hakuna atakaye toka hata mmoja, Hivyo mimi siwalaumu upinzani kwa sababu Upinzani wanahitaji Sapoti ya Raia ambayo haipo kwa sababu ya Uzezeta.

RAISI?- Inafaa kuwa hivyo, but Mama Samia anatuzuga na kilio cha Mamba, Mama hayuko Serious na ufisadi, na shahidi zipo nyingi sana za kuprove hili, Mama ni very weak , Bora hata JK aliwafunga wakina Mramba ile Danganya toto, ila mama hata Danganya toto haiwezi.

So kwa kifipi kwa hii nchi hakuna mwenye uchungu hata mmoja tusidanganyane humu na vijipost vya kulalamika lalamika, hakuna hata mmoja.
LISSU: Ufisadi ule ule, watu wale wale, Chama kile kile, hakuna jipya.
 
Namshauri tu kama uraisi Hawez kuumudu basi aachie ngazi akahubir mauwadhi na kufungua madrasa kuliko kuwauliza watu kuwa hawatazikwa na hizo pesa
 
Back
Top Bottom