Mtwara hakukaliki
Maguful.i ameturudisha kipindi cha 1970Anaeujua uchumi hawezi somesha watu namba hapo ni sawa na kuzuia mito ikuleteyo maji ziwani, huwezi ukaua diplomasia, huwezi ukaumiza wafanyabiashara na wafanyakazi, huwezi ukaua private sector hizi zote ni itikadi za kijamaa na ukomunistu huwa na lengo la kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.
Kutibiwa? Labda kwa Babu wa Loliondo. Hospitali zote hazina vifaa muhimu kama MRI labda kasoro Muhimbili tu.Wewe hujaona ndege 11 au hutaki kupanda ndege? Na hujasikia tunaongeza zingine 5, haujui kama tayari Tz ipo uchumi wa kati na hivi karibuni tunakua donor country, subiri uone wazungu wanatoka kwao ulaya kuja kutibiwa Tanzania, muda si mrefu tutaanza kuikopesha USA na UK, na kusaidia bajet ya nchi zao