Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Haijawahi tokea, kwanini walio gombea ubunge au udiwani wakibaini msimamizi wa tume au tume ya uchaguzi imetangaza matokeo tofauti na waliyopewa kwenye chumba cha kuhesabia kura wasiwashtaki hawa wahusika kwa kutumia sheria ya takwimu badala ya kwenda kupinga uchaguzi mahakamani? na isitumike sheria ya uchaguzi. kipi rahisi.
Uwezo huo haupo,hii tume kwanza ipo taifani tu kwenye ngazi zingine za kiutawala haipo,waendesha uchaguzi wa kuanzia ngazi ya ubunge ni wakurugenzi (political appointee wa ruling party)bila ya kuifanyia mabadiliko katiba iliyopo sasa tutasubiri sana,elewa hata kuishitaki serikali hapa kwetu ni ndoto,hiki kivuko kilichozama na kuuwa watanzania wenzetu kwa nchi zinazojielewa serikali iliyopo madarakani ingekuwa na kesi ya kujibu,ila kwa sababu tupo ndani ya shithole country tuendelee kusubiri;President Madiba aliliona hili ndio maana huwezi kusikia jaji anafanya kazi kwenye tume ya uchaguzi ya SA ili kuepusha hii conflict ya maingiliano kati ya JUDICIARY NA NEC.
na sidhani kama kile kivuko kilikatiwa Bima kwa abiria na mizigo
Nzungumzia takwimu ya idadi ya kura pekee zinazo tangazwa endapo ni tofauti simamia hapo je atapeleka karatasi ya takwimu na kufungua mashitaka chini ya sheria ya takwimu? acha habari ya majukumuMkuu utapata taabu sana ni kwamba majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yameainishwa katika Ibara ya 74 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo ni Kusimamia na Kuratibu Uandikishaji wa Wapiga Kura katika Uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;Kusimamia na kuratibu uendeshaji wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge; Kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi wa Wabunge; Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa Wapiga Kura na uendeshaji wa Uchaguzi wa Madiwani; na
Kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
Majukumu mengine ya Tume kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa ni pamoja na yaliyotajwa katika kifungu cha 4C cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, ambayo ni:- Kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa nchi nzima, kuratibu na kusimamia watu wanaotoa Elimu hiyo; na Kuteua na kuwatangaza Wabunge na Madiwani Wanawake wa Viti Maalum.
Sasa endapo mgombea anaona hajatendewa haki katika uchaguzi na iwapo ana ushahidi wa kutosha anaruhusiwa kwenda Mahakamani kupeleka madai yake kwa msingi wa sheria hizo hapo juu nilizozitaja! Hapo hakuna mazingaombwe hapo kinachoangaliwa ni sheria za uchaguzi kama zimekiukwa na si vinginevyo nje ya hapo ni sawa na kukimbiza upepo!
Je kuna taasisi ndani ya serikali ambayo haijui sheria kwa hiyo kwakuwa ni taasisi ya wateule wa rais ndio maana haiwezi kushtakiwa inapo fanya kosa na haiwezi kutii sheria zilizo ainishwa, nafikiri hujasema kitu hapo unaiona tu kama taasisi lakini hujui kama taasisi zipo kwa mujibu wa sheria na wote wana viapo kutii sheria, kanuni na kuilinda katiba ya nchi.Uwezo huo haupo,hii tume kwanza ipo taifani tu kwenye ngazi zingine za kiutawala haipo,waendesha uchaguzi wa kuanzia ngazi ya ubunge ni wakurugenzi (political appointee wa ruling party)bila ya kuifanyia mabadiliko katiba iliyopo sasa tutasubiri sana,elewa hata kuishitaki serikali hapa kwetu ni ndoto,hiki kivuko kilichozama na kuuwa watanzania wenzetu kwa nchi zinazojielewa serikali iliyopo madarakani ingekuwa na kesi ya kujibu,ila kwa sababu tupo ndani ya shithole country tuendelee kusubiri;President Madiba aliliona hili ndio maana huwezi kusikia jaji anafanya kazi kwenye tume ya uchaguzi ya SA ili kuepusha hii conflict ya maingiliano kati ya JUDICIARY NA NEC.
Nzungumzia takwimu ya idadi ya kura pekee zinazo tangazwa endapo ni tofauti simamia hapo je atapeleka karatasi ya takwimu na kufungua mashitaka chini ya sheria ya takwimu? acha habari ya majukumu
Nzungumzia takwimu ya idadi ya kura pekee zinazo tangazwa endapo ni tofauti simamia hapo je atapeleka karatasi ya takwimu na kufungua mashitaka chini ya sheria ya takwimu? acha habari ya majukumu
kama tume y uchaguzi haiwezi kushitakiwa kwa sheria ya takwimu maana yake wana uwezo wa kutangaza matokeo yoyote yale wanayoweza kutangaza
Haijawahi tokea, kwanini walio gombea ubunge au udiwani wakibaini msimamizi wa tume au tume ya uchaguzi imetangaza matokeo tofauti na waliyopewa kwenye chumba cha kuhesabia kura wasiwashtaki hawa wahusika kwa kutumia sheria ya takwimu badala ya kwenda kupinga uchaguzi mahakamani? na isitumike sheria ya uchaguzi. kipi rahisi.