abuuzahraa Member Joined Aug 13, 2009 Posts 24 Reaction score 9 Aug 30, 2009 #1 Ndugu wanajamii wenzangu nani amebahatika kuupata waraka wa Wa waislamu tafadhali tunaomba uuweke mtandaoni sote tuusome.
Ndugu wanajamii wenzangu nani amebahatika kuupata waraka wa Wa waislamu tafadhali tunaomba uuweke mtandaoni sote tuusome.
J Jews4ever Member Joined Jul 21, 2009 Posts 74 Reaction score 0 Aug 30, 2009 #2 Waraka nasikia upo hapa www.wafuasiwashetani.com Issue ni kuudownload.
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 Aug 30, 2009 #3 kuna haja gani kusoma au kuupata huo waraka kama unapatikana kwenye link ya wafuasi wa shetani?????????????
kuna haja gani kusoma au kuupata huo waraka kama unapatikana kwenye link ya wafuasi wa shetani?????????????
JosM JF-Expert Member Joined Oct 11, 2008 Posts 679 Reaction score 19 Aug 30, 2009 #4 Jews4ever said: Waraka nasikia upo hapa www.wafuasiwashetani.com Issue ni kuudownload. Click to expand... Mkuu, Mbona link uliyo toa haina kitu?
Jews4ever said: Waraka nasikia upo hapa www.wafuasiwashetani.com Issue ni kuudownload. Click to expand... Mkuu, Mbona link uliyo toa haina kitu?