Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi siku hizi wengi wanapenda sana au ni magufuliSio vibaya, mdada mwingine anakuwa amekupenda tangu zamani ila aliona aibu kukwambia. Sasa ukimtongoza lazima achangamkie fursa mapema iwezekanavyo. Ila kama hakukupenda wala muda wa kukufikiria hana atakupotezea mara moja.
Ni mtazamo wako tuBasi siku hizi wengi wanapenda sana au ni magufuli