Nani mwingine humu huchukizwa na mdada, mtongozo wa kwanza tu, anakubali fasta?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Yaani kumwambia tu anakubali hapohapo.
Aaah ndo maana mnaachwa mapemaa
Eti wakuu mnasemaje
 
Sio vibaya, mdada mwingine anakuwa amekupenda tangu zamani ila aliona aibu kukwambia. Sasa ukimtongoza lazima achangamkie fursa mapema iwezekanavyo. Ila kama hakukupenda wala muda wa kukufikiria hana atakupotezea mara moja.
 
Basi siku hizi wengi wanapenda sana au ni magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…