ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna hii hali usiku usingizi ukikata naanza kufikiria stori kuhusu mimi endapo ningekuwaga na nguvu za ziada na utajiri mkubwa na uongozi vile ningefanya mambo yangu. Wakati mwingine stori nazirudisha nyakati za sekondary classmates wa sekondary ndo huwa nawa include sana sijui kwanini huwa sifikirii za chuo anyway stori hizi huwa zinaenda vizuri na kila siku ni mpya hazijirudii kiasi cha kwamba ningeamua kuwa director basi leo hii nina movies nyingi sana ingebakia kuziboresha tu maana nimeanza nazo zamani kidogo.
Mara nyingi haswa huwa nawaza yafuatayo (maana hizi sio ndoto huwa nazifikiria nikiwa najielewa kabisa)
1. Nina gari ambayo body kwa juu iko wazi natanua tu mjini
2. Nina maghorofa makubwa marefu kila mkoa yaani eti nina kataasisi kabisa kama kalivyo ofisi ya rais ila changu ni binafsi hakana siasa ila biashara tu za madini n.k..
3. Wakati mwingine utanikuta nafikiria nina kikosi kidogo cha kijeshi kipo porini kinapambana na viongozi mafisadi
4. Sometimes eti nina dawa ya ukimwi kama ile ya babu wa liondo so wanakuja watu wengi niwatibu wazungu, yaani mpaka nakuwa tajiri tanzania nzima.
5. Wakati mwingine najikuta mcheza mpira mkubwa ninaifikisha taifa stars fainal za kombe la dunia.
In short zinakuwa ni stori kabisa ndani mwake zina vitu vingi usaliti visa mapenzi n.k
Je, hii ni kawaida kwa binadamu ndo ndoto zenyewe maishani au movies zimeniathiri?
DR HAYA LAND
Robert Heriel Mtibeli
Mshana Jr