Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwa wenye umri kama wangu na kunizidini, kwa hoja hii Tanzania tukimuondoa kwanza Mwalimu Nyerere alafu tuwaangalie marais waliorithi kiti chake.
Ni Rais yupi aliwapelekea watanzania kwa mamillion yao umeme wa bure vijijini ndani ndani na viunga vya miji katika kaya zilizosahaulika ambazo zisingepata umeme wa bure kama Magufuli??. Mimi kwa macho yangu bila kumungunya maneno, watu wanyonge kwa mamillion yao waliokuwa wanakaaa maeneo yaliyokataliwa, walipelekewa umeme tena wa msongo mkumwa (three phase) kwa kulipa tu 27,000/= tu!!!!. Na baada ya Magufuli kufariki nyumba jirani ya hizo nyumba, tena nyingine hazihitaji hata nguzo moja kwa miaka 6 mpaka sasa wameshindwa kulipa 340,000 ya tozo la Tanesco kuingiza umeme ☹☹☹.
Haja ya pili ni elimu ambapo mtanzania mwananchi mnyonge aliyekata tamaa ya kumsomesha mtoto alirejeshewa tumaini baada ya kufutwa tozo na michango kichefuchefu ya elimu ya msingi hadi sekondari kupelekea watoto wengi kwa mamillion kusajiliwa elimu ya msingi hadi sekondari mpaka shule zikafulika kupekekea wimbi la madawati.
Ni Rais yupi ameleta uwajibikaji katika taasisi za umma kama Magufuli ambapo mwananchi wa kawaida alikuwa anaweza kwenda taasisi, makampuni, na mashirika ya umma na kuhudumiwa kwa haki bila rushwa?
Sasa hivi imekuwa tofauti kabisa! Tukianzia wenyeviti wa serikali za mtaa Tanzania nzima wameanzisha miradi ya kuwapiga watanzania kuchangia kiwango kikubwa kila kaya eti kwa ulinzi shirikishi na usipolipa unaswekwa rumande!
Sasa nasema: Ulaaniwe wewe mwenyekiti wa kitongoji unayeweka sheria ndogo za wizi (By laws) za kuleta taaruki badala ya kupambana na mambo yenye tija kwa wananchi kama umeme, elimu, maji, afya, madawati, na ustawi wa kaya kwa ujumla.
Wewe mwenyekiti wa mitaa ambaye anaungana na mabwenyeye wenye hela na kuwakandamiza watanzania wanyonge ulaaniwe na jina lako lisikumbukwe kamwe tangu siku ulipoingia madarakani kama unaungana na wezi bila kujali mahitaji ya msingi ya watanzania wakati wewe mwenyewe ni masikini, fukara, kipofu, kiziwi; huku ukijitutumua kwa kacheo ka mwenyekiti wa mtaa.