Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
kwa mtoto au?kichapo
kweli kabisa, baba anajijua yeye ndo muoga alafu anauliza swali kwa mtoto!!!!!???Matatizo mengine ya kujitafutia
Innocent kids, kwa nia njema kabisa!Watoto bana, hawana muamana...Mzee mzima unadhalilika hivihivi..huh!
Siku mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga
kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema
mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao
Baba =Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu mwoga zaidi
Mtoto 1=mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri
Mtoto 2=Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita msichana wa kazi analala nae.