Nani ni mmiliki wa kanisa lenye nembo hii?

Ni la kiroho au ni la wapunga mapepo? Eti kanisa la marafiki wa mungu! Ina maana hayo makanisa mengine si ya marafiki wa mungu? Ubunifu mwingine wa jina la huduma ni bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…