Wakuu habari za wakati huu,
Wakazi wa wilaya ya Same wanafukuto chin ikwa chini hapo mwaka 2020 ili waweze kupata kiongozi bora kama mbunge wao wa kuwaletea hamasa na mbinu za kimedani za kupata maendeleo.
Nyepesi nyepesi kuna baadhi ya watu wanaotajwa kutaka kuwa wabunge kupitia jimbo hilo kwa upinzani na chama dola.
Mate ya nini, wino upo. Majaliwa ya muumba itafahamika ifikapo 2020. Kwa sasa wazee wanazidi kutafakari.
Kutoka
Changoko-SAME
CCM Kindakindaki