Nani ni ndio "Kunje Ngumbale Mwiru"? Mwanahalisi wajibu

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa "Ngumbale"?


Mwanahilisi tupatieni fafanuzi!
 
Nawatafuna, nendeni yuu tub tafuta, "Kesi ya mbowe yamuibua mtoto wa Ngumbale Mwiru" Wazee waingilie kati.
Je ni wazee gani hawa?
Je ina maana kuwa kuna wana CCM walishirikiana na Mh.Mbowe?

Escoba, hakuna utamu wowote pale unapoona Kiongozi wa chama cha siasa CHADEMA anahusishwa na Mtoto au watoto wa vigogo wa CCM. hii sio safi Kwani ni kesi ya ugaidi
 
Sio Kinje huyu , Kinje mtu poa sio muongeaji kwanza. Kinje ni huyu mwenye miwani

View attachment 1894754
Heee mbona huyu siyo Kunje Ngumbale? kwa hiyo kuna Kunje Ngumbale Mwiru na Kinje Kitile Ngombale Mwiru mimi sasa nime changanyikiwa ndio maana nikaomba ufafanuzi kutoka kikaangoni kwenyewe, yaani MWANAHALISI TV lakini inawezekana wako bize au hawapitagi humu ehhh
 
Tusubiri jibu. Ila uwezekano kwamba kuna mtu anaitwa Kunje Ngumbale Mwiru na mwingine Kinje Kitile Ngombale Mwiru ni mdogo sana!! Haya ni majina nadra sana.Tuseme tu ni makosa na kiuandishi.
 
Nasubiri, lakini nafikiri waje wao kusema, kwani, kumekuwa na aina fulani ya kuleta uhasama hasa pale wanaohusishwa ni Vijana au watoto wa vigogo wa CCM kumbukeni "Warakagate"
 

bofya juu
Huyu sio Kinjeketile Ngombale Mwiru mtoto wa pekee wa mzee Ngombale Mwiru. Huyu labda wamefanana majina au mtoto asiefahamika na familia.
Kinje Hana maneno na wananzengo mwenyewe Ukitoa kashfa alizowahi pata kuhusu mapouda akahamia zake South basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…