nina umri usiozidi 31. nina watoto wanne kila mmoja na mama yake. wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, watatu nikiwa internship na wa nne nikiwa tena chuoni. kati ya hawa wanawake wawili wameshaolewa. ninatamani sana kuoa sasa ila nilipowaendea hao waili waliobaki kila mmoja kwa nafasi yake walikubali ombi langu ila hakuna aliyekubali kuletewa mtoto wa nje. sasa sijui nifanyeje kwasababu sitaki kukaa mbali na wanangu. hivi sasa nimeshawachukua wawili wote wapo boarding school na ninatarajia kuwachukua na hao wengine pia ASAP.
wanajamvi ninatamani kuoa. nawakilisha
si ndo kujitakia kitanzi hapa besteNot too late pal, oa wote wawili ili uwe fair kwa watoto wako. Sijajua wewe ni dini gani, lakini kama ni mkristo, itakubidi ukafunge ndoa wilayani ili uweze kuoa zaidi ya mke mmoja.
inaonekana hujawahi kupatikana, yatakapo kupata utaijutia nafsi yakoMada zingine bana
Kama story za Shigongo
Khaaaaa!
jamani..haya bwana..asantedah baba makusanya...endelea kusearch utampata atakayekukubali wewe na timu yako ya maji maji

ao wakweli na ukilazimisha uwaletee watoto wakat wwashakuambia awatak watoto wa nje itakula kwako na vctm apo watakuwa ao watoto wa nje

pole
digital multimeterDah sasa huyu mtu au tester?
any can doWewe unampenda yupi kati ya hao?
Pole kwa mtihani ulionao,kama hawahitaji kuletewa mtoto wa nje jaribu kutafuta binti mwingine mwambie ukweli yupo ambae atakubaliana na halisi!
unamjua mmoja? mwambia kuna chance pahali ilimradi tu awe na reception nzuri, boot iwe sawa na tabia nzuri tayari kusettleTafuta mwenye watoto wanne kwa baba tofauti nadhani ndo mtafanana.
companionship na si vinginevyo.Kabla ya kuchangia hoja nijibu hili swali. Kwanini unataka kuoa?