nani rafiki wa kweli

nani rafiki wa kweli

me4u

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Natafuta marafiki wa kweli, wa kuwa nao katika shida na raha maana dunia bila marafiki haijakamilika
 
Jinsia yako? Marafiki wa umri gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nina miaka 23, im a male..nakaa dar kama upo serious ni pm...rafiki yoyote tutakayeendana
 
Back
Top Bottom