Nani Role model Wako?

Mkuu mimi nimemnukuu kutoka kwenye story yake ya "True memories of my life" alisema kasoma uuguzi

Kuna tamasha jingine la "street university" alisemaga ni darasa la saba mkuu
Sijawahi Kuvisoma Hivo Vitu
Ila Nakumbuka Nilimuona Maafari
Ya Mzumbe Sec Kama Mgeni Rasmi Na Alumnae.
 
Nimependa Umejibu Kisomi!
Viva Mboye, Gates Na Wiz kid.
 
Yesu Kristo,
Yale majibu yake na mifano dhahiri imenifanya ñitamani kuwa kama yeye
Kuna yule jamaa anaigiza kwenye igizo la jambo na vijambo la EATV naye anaongeaga km yesu ebu jaribu kua una mcheki atakuvutia pia hahahaaa
 
EL-Mtukane uwezavyo hatokaa akujibu kwamwe,yeye ni kimya tu hana maneno mengi,kama unahisi wewe ni adui yake namba moja usishangae siku utakapokutana naye mkakaa meza moja mkala mkacheka na kufurahi wala asikuulize chcht.Huyo ndiyo Lowassa.


Alikiba-huwa anaishi maisha yake ambayo anaamini yeye kuwa tupo comfortable,hataki maisha binafsi kuwa publically,kama ni umaarufu anataka kazi zake ndiyo ziwe maarufu zaidi kuliko hata yeye mwenyewe,hana presha na wala huwa hakubali kbs kupangiwa na mtu nini na lini afanye nini.Navutiwa na maisha hayo.




TL-anajiamini sana kila anachokitamka huwa anajua hakiwezi kumletea madhara popote,anaongea chochote,popote bila kuvunja kanuni na taratibu za nchi,anaamini kujua sheria barabara humuweka mtu huru,hrf ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa muda mmoja,anaweza akawa ana kesi ya kujibu na bado akawatetea wateja wake na baadaye akahudhuria kikao mhimu mkoa mwingine kwa siku hiyohiyo.Get well soon.
 
Viva Lissu And Get Well Soon.
 
Kuna yule jamaa anaigiza kwenye igizo la jambo na vijambo la EATV naye anaongeaga km yesu ebu jaribu kua una mcheki atakuvutia pia hahahaaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…