Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Anhaa niambie mapungufu yangu yapo wapi mkuu ili nibadilikeWewe!
afadhali ubaki kusoma comments tu
DuhThread za HR 666 zinaboa sana, utoto mwingi na uwongo mwingi.
The bold atakusisimua kwa thread zake.
mshana jr, atakuelimisha maarifa makubwa mno kupitia thread zake.
Pascal Mayalla thread zake ni za kina sana. Akiandika makala hata ukiwa zuzu magic utaelewa.
Mzee Mwanakijiji siku hizi kama haonekani sana, ila yuko vizuri.
BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema siku hizi kawa mchangiaji zaidi.
jeneral galadudu atakuchekesha na kukuburudisha kwa thread zake za mapenzi, na style zake zenye majina ya ajabu.
ndyoko ndio balaa, ila siku hizi anajificha sana.
Miss Natafuta siachi kusoma mabandiko yake
lara 1 ameteka sana fahamu za wanawake kwa machapisho yake .
JF ni raha sana.
mbona hujalipa kodi..?HR 999 thread zake bora mavi ya bata eg. Hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe!
afadhali ubaki kusoma comments tu
Nimeshindwa nitumejembona hujalipa kodi..?
Hujui kukosoa mtu kwa ustaarabu unajifanya wewe ndo umefikaAnhaa niambie mapungufu yangu yapo wapi mkuu ili nibadilike
we si ni mgeni humu!!!!!!!!HR 999 thread zake bora mavi ya bata eg. Hii
ahsante kwa ushauri mkuu nitauzingatiaHujui kukosoa mtu kwa ustaarabu unajifanya wewe ndo umefika
Triple H upo vizuriMshana jr jembe sana.
Paschal huyo kama kawa.
Wale waandikao mambo za siasa hasa za chama tawala wengi wao posts zao sisomi, zinakera na zinaudhi maana zinashambulia character ya mtu moja kwa moja.
Otherwise JF ni jukwaa huru!
Wewe ni member mimi ni senior member nani mgeni zaidi. Soon nakuwa expert memberwe si ni mgeni humu!!!!!!!!
ndo hapo sasawe si ni mgeni humu!!!!!!!!