Ngariba mwenyewe
Member
- Nov 10, 2013
- 23
- 3
-Nina bonde ekari 1
-waterpumb mm 250 -Ardhi yenye rutuba,maji ya uhakika eneo lina ulinz wa uhakika.
-Eneo lipo jiran na barabara kuu(DAR-DOM)
Nahitaji mtu atakayenisaport mbegu,gharama za kutifulia,kusia mbegu na kupanda.
Shamba lipo dom kongwa vijijin.
Nahitaji mtu commited ambaye Tutafikia malengo.
Nawasilisha kwenu wadau.