EMMANUEL JASIRI
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 150
- 84
Aina ya ndizi pendwa za wachagaKitarasa ndio nini?
Oooooh!Aina ya ndizi pendwa za wachaga
Kitarasa ni ndizi fulani zinazotoa utomvu wa njano alafu hazina ukakasi hata ukila mbichi.Unga wa ndizi ni kama unga wa muhugo,hilo kitarasa ndio nini mkuu?!