Nani unampenda zidi kati ya hawa

japo na me ni baba lakini najua fika kuwa mama ni zaidi..
 
sasa hapa hi thread ina beba neno TETESI ki vipi????😕😕
 
Kama huna mtoto utawapenda wazazi kuliko mwingine yeyote yule baada ya kupata watoto utawapenda kuliko wazazi, ila vijana wanawapenda wapenzi wao kuliko mwingine yeyote yule
 
Ukikaa na kukumbuka watoto ulio watupa kwenye eg, kondoms,chooni,mimba zilizo tolewa au haribika au watoto walio fariki kwa chochote iwe ugonjwa ama ajali, lakini ukapata watoto wengine na wakawa wakwako pia, lakini ukukumbuka wapenzi uliokuwa nao ukawaacha mme au mmke uliye oa au olewa nae mkaachana kwa idadi yeyote ile na mara nyingi uwezavyo lakini kwa sasa una ama mke au mme mwingine na ni wakwako ,sasa ushawahi kuachana na mama au baba halafu ukampata mwingine na akawa wakwako??
Kama huna mtoto utawapenda wazazi kuliko mwingine yeyote yule baada ya kupata watoto utawapenda kuliko wazazi, ila vijana wanawapenda wapenzi wao kuliko mwingine yeyote yule
 
Kaka huo ni mwaka tu mbona nyinyi hamjaweka miaka yenu hebu angalia hiyo sura ya mwaka 70
 
Thread nyingine za kushangaza sana! Huwezi kufananisha ama kutofautisha vitu visivyo na uhusiano wa kufananishwa hata kidogo. huwezi kufananisha wazazi wako na ama watoto wako au mkeo kwa sababu wewe hukuchagua kuzaliwa na hao wazazi, ulijikuta tu umezaliwa nao na kwa jinsi hiyo huna budi kuwapenda kama wazazi wako. hata ikitokea huwapendi, huwezi kufuta uhusiano wa mtoto na wazazi wake.
upendo kati yako na wazazi wako ni tofauti sana upendo kwa mkeo. Ukiondoa utii katika imani (ya Kikristo?) upendo kwa mkeo unaweza kuisha na mkaachana akawa siyo mkeo tena!
watoto unaweza kuamua kuwa nao ama usiwe nao (kwa wasio na matatizo ya uzazi) ni hiari yako, lakini ukiwa nao hakuna namna ya kutenganisha uhusiano huo. kupenda kati ya hao uliowataja ni subjective inategemea vigezo vya mhusika.
 
Kama huna mtoto utawapenda wazazi kuliko mwingine yeyote yule baada ya kupata watoto utawapenda kuliko wazazi, ila vijana wanawapenda wapenzi wao kuliko mwingine yeyote yule

You have a good point....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…