General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ungeiripoti hiyo post kuliko kuanzisha thread.... WE UNGEKULA BAN TUNapendekeza Miss Natafuta.
Apewe Ban ya kutoa lugha ya matusi ktk michango yake.
Ungeiripoti hiyo post kuliko kuanzisha thread.... WE UNGEKULA BAN TU
hahahahaAnayo yupo msoton saivi naskia ameweka mgomo wa kula uko atolewe cello,
NDO NINECHITICHAT BAN YA MTUHili ni jukwaa la chit-chat
unanionea mkuuNatamani hata wewe ule ban
haaaaaa haaaaa nipendekezo langu tuunanionea mkuu
hahahaha
Ndio maana sion mikiki mikiki yakee
Yule mtoto Wa mkulu umempata?Napendekeza Miss Natafuta.
Apewe Ban ya kutoa lugha ya matusi ktk michango yake na kututia genye humu huku tukiwa hatuna uhakika na jinsia yake.
Cc. JamiiForums hebu mpeni haki yake huyuMimi binafsi nataka nipewe ban nione inakuaje kuaje
Hakuna kuondoka, na kama ukiondoka basi nawewe ule ban tuNitarudi