Nani Ungependa ale Ban?

Hawa wapigwe ban kwanza nakuja na orodha nyingine Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye
 
Natamani wanaume wote wa jf mpate ban kama mda wa mwez hivi[emoji1][emoji28]ntafurahi sana
 
yaani Yanga ifungwe na simba wakati ni kitu kisicho wezekana

Kwani ile ' Derby ' ya hapa juzi kati nadhani mwezi February au March nani ' aliukalia ' kunako Uwanja wa Taifa Mkuu?
 
kuna mtu natamani wampe bun. ngoja niangalie kama watamtaja wengi,
nami ntamtaja. ntarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…