Nani utampa chance kati ya hawa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Which man/woman should be given another chance?
1. The one who has sex with someone else and confesses
2. The one who has sex with someone else and gets caught then confesses
3. The one who has sex with someone else and gets caught then denies
4. Or none of the above he/she deserves no chance
....nawasikiliza..
 
Haya mi nimeshasema natumaini UMENISIKIA!!
 
Mara nyingi ya 3. The one who has sex with someone else and gets caught then denies...huwa wanapewa chance kwa sana tuuuuuu.....Halafu kuna kitu sasa hawa hasa wanawake jamani huwa sisi wanaume tunawaoneaga sana..Akikukuta hasa miafrica yenye mifume eti dume...Lkn huyohuyo mwenye mfumo dume akifanyiwa inauma...Mkuki kwa nguruwe....
 

Upo sawa ki mtazamo na inavyoonekana ktk jamii yetu ya kiafrica,
ogopa akili ya mwanamke na ni ngumu kuijua na katu haitojullikana ,wanawake ni watu wenye wivu sana na kulipiza visasi mno ila ni slowly killer na haipendezi kuvunja family sababu ya watoto ila wengi wanatembe nje ya ndoa
jibu langu ni 04
 
..........there is always no such a thing as a second chance in love.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…