Nani wa kulaumiwa Madudu haya ya TAZARA?

Nani wa kulaumiwa Madudu haya ya TAZARA?

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
720
Reaction score
582
Wakuu hivi tangia Mh Magufuli afondoke hivi kuna shirika limekua la ovyo kuzidi hili TAZARA.

Just imagine tupo stesheni toka saa 9 mchana lakin tren kuondoka saa 5 usiku.

Mama Samia pamulike kwa jicho la tatu Sana hapa. Wafanyabiashara tunaotegemea huu usafiri unatutesa sana.

IMG_20210827_133315_5.jpg
 
Mashirika mengi yanakufa kwa uozo kama huu.
 
Hilo shirika bora tu lingebinafsishwa libaki tu kusimamia miundombinu (reli)

Sijawahi kuona mtanzania amesimamia mradi tena wa serikali na ukazaa matunda au kuwa na matokeo chanya.
 
Hilo shirika lilishakufa diesel ikipanda mtaani huko kwenye vichwa mchwa wanazoa kila kitu.
 
Kipindi cha Magafuli atcl za kutoka Dar kwenda Kigoma zilikua zinaenda ku connect pale Dom na saa ingine zinashindwa kuondoka siku hio mnalazimika kulala Dom.

Tumlaumu nani?
 
Wewe ndo wakulaumiwa kwa umbeya wako!
 
Tazara tu inatushinda, treni za umeme tutaziwezea wapi?
 
Kwani digital screen ya ku-display hayo matangazo inauzwa shillingi ngapi? Mbona wanafanya mambo kama enzi za ukoloni? Why?
 
Huo ubao wa matangazo sasa. Tumezidi kuendesha mambo yetu kienyeji zaidi hata enzi za ujima.
 
Kipindi cha Magafuli atcl za kutoka Dar kwenda Kigoma zilikua zinaenda ku connect pale Dom na saa ingine zinashindwa kuondoka siku hio mnalazimika kulala Dom.

Tumlaumu nani?
Ku-connect flight Dom unamaanisha mnapanda nyingine au?
 
Hivi kuna nchi duniani imewahi kubinafisha huduma za jamii?
Hilo shirika bora tu lingebinafsishwa libaki tu kusimamia miundombinu (reli)

Sijawahi kuona mtanzania amesimamia mradi tena wa serikali na ukazaa matunda au kuwa na matokeo chanya.
 
Nchi ngumu hii

Twendeni hivyo hivyo

Ova
 
Back
Top Bottom