Hatuna pesa za kuchezeaKwani digital screen ya ku-display hayo matangazo inauzwa shillingi ngapi? Mbona wanafanya mambo kama enzi za ukoloni? Why?
Ku-connect flight Dom unamaanisha mnapanda nyingine au?Kipindi cha Magafuli atcl za kutoka Dar kwenda Kigoma zilikua zinaenda ku connect pale Dom na saa ingine zinashindwa kuondoka siku hio mnalazimika kulala Dom.
Tumlaumu nani?
Yaani hadi tandale kwa mkaanga sumu vibanda vyote vina flat digital screens, itakuwa TAZARA kweli? Nadhani ni umasikini wa maarifa tu, na sio pesaHatuna pesa za kuchezea
Hilo shirika bora tu lingebinafsishwa libaki tu kusimamia miundombinu (reli)
Sijawahi kuona mtanzania amesimamia mradi tena wa serikali na ukazaa matunda au kuwa na matokeo chanya.
Uliomba kura ukonga ujue. Ila kweli wanazingua nimewahi kusafiri kwenda moshi siku mbili tukakaa njianiOvyo