Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,273 Dec 14, 2010 #21 Kevin Ambrose said: Kutotoa vichanga 13 ni shughuli pevu kweli kweli. Najaribu kupiga picha hiyo "mashine" yake....somethings are just better left unsaid! We Dena jana ulikuwa wapi mi nimekutafuta siku nzima bana... Click to expand... Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13???
Kevin Ambrose said: Kutotoa vichanga 13 ni shughuli pevu kweli kweli. Najaribu kupiga picha hiyo "mashine" yake....somethings are just better left unsaid! We Dena jana ulikuwa wapi mi nimekutafuta siku nzima bana... Click to expand... Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13???
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Dec 14, 2010 #22 Dena Amsi said: Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13??? Click to expand... Juzi kati nilienda kwa mjomba sasa kuna kadogoo mmoja akawa anaichezea na bahati mbaya akaidumbukiza chooni nikapoteza kila kitu. Hebu nifyatulie tena hiyo namba yako kwenye PM 😉
Dena Amsi said: Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13??? Click to expand... Juzi kati nilienda kwa mjomba sasa kuna kadogoo mmoja akawa anaichezea na bahati mbaya akaidumbukiza chooni nikapoteza kila kitu. Hebu nifyatulie tena hiyo namba yako kwenye PM 😉