pute kitogo
Member
- Apr 26, 2024
- 6
- 3
ðŸ˜NANI WA KUPENDA TAIFA LETU KAMA TUNAVYOPENDA VYAMA VYETU VYA SIASA?ðŸ˜
Taifa au chama?
Kila nikiangalia sioni natafuta sijapata bado, sio wazee, vijana hata watoto kila moja mahaba kwa vyama vyao kuliko taifa lao ubaya huu hawaoni kuwa ni tatizo bali wanaona ni ufahali, ukiuliza watakuambia katiba inaruhusu na kwenye dini sio dhambi na kimila ni vizuri.
Ndugu watanzania nilidhani watoto wetu watakuja kuwa wakombozi wa jambo hili ila jana wameingizwa kwenye uchupukizi ndani ya vyama vya siasa wanatiwa mahaba ya kupenda vyama vyao je lini watajazwa au kutiwa mahaba ya kupenda taifa lao?, kaka na dada zao tuliwakosa tangu juzi wakati wapo mitaani na vyuoni walipewa kadi, kofia vijiposho vya kwenda kubeti wengine wakapewa ukomando wa kuongea sana.
Ukitaka kujua ukubwa wa jambo hilo angalia mataifa mengine yaliyoendelea wanafanya nini juu ya taifa lao angalia wanavyojipanga kujenga majeshi yao kama vile kesho kuna Vita angalia jinsi wanavyojenga nchini zao kama vile hakuna mwisho wa dunia, ni ngumu kujenga taifa kama hakuna upendo ndani ya taifa lenu.
Kuna kashfa mbalimbali kwa viongozi kama vile Richmond na Escrow hii kwa zamani tena nikukupa kazi ya kutafuta kashfa hizo basi hazitazidi ishirini ila kila mwaka kuna ripoti ya CAG ambayo kuna ubadhilifu mkubwa unaofanya na watanzania ambao wanajulikana kama watumishi wa umma kwa hiyo sasa hivi viongozi na wananchi wote mafisadi kuna kauli ya kuthibitisha kauli yangu hiyo utasikia watu wakisema hata ungekuwa wewe ungepiga au keki ya taifa tule sote yani wezi wa taifa lao wanalasimisha.
Wanaosema hivyo wote ni watanzania ambao wakisema waongee kuhusu siasa utapenda waendelee kuongea ila ukiwapa nafasi yakutekeleza waliyosema utaumia tumbo mbele maslahi ya taifa baadae, ndio maana nashidwa kuelewa nani wa kulipenda taifa letu kama kila mtu anajali familia, yeye au chama chake
Hili tatizo ni kubwa kama ugojwa ni zaidi ya covid-19 kama kimbunga hii ni zaidi ya hidaya, Taifa limesuswa hakuna wa kulipenda wengi wanapenda kwa mwavuli wa vyama, mahaba haya kwa vyama yanatufanya tunashidwa kukaa sehemu moja kujadili taifa letu matokeo yake kila mtu anamuona mwenzie ni adui anatumwa na wazungu kumbe mchawi wetu ni mahaba yetu kwa vyama vyetu kuliko taifa letu.
Mtanzania anajiona ni mzalendo akivaa nguo ya chama fulani tena ukimpa nafasi ya kuongea anajiona ndiyo mzalendo aliyekuja kuliokowa taifa hili, wanashidwa kujua vyama vilizaliwa baada ya taifa kuzaliwa wanasahau kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe ni ngumu kuisha inauma 😠wakishidwa kutofautisha mambo ya vyama na taifa.
Hasara ya kupenda vyama vya siasa kuliko taifa lako
Kushidwa kukaa sehemu moja kujadili mambo ya muhimu wa taifa.
Kukosa uzalendo wa taifa lako
Rahisi kutokea kwa Vita.
Rahisi kuchezewa na maadui wa taifa.
Kushidwa kujenga taifa lenu kwa vizazi vijavyo.
Ni ngumu kutatua changamoto au matatizo ya uchumi, magojwa na mambo mengine.
Kuchukiana wenyewe kwa wenyewe hadi kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu.
Kupigana, kukandamiza uhuru.
Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Kuongezeka kwa Siasa za ubinafsi.
Maandiko mengi yataandikwa kutaka taifa liwe vipi kwa miaka ya baadae ila kama tutakuwa hivi basi hatuwezi kufikia yale tuliyoandika kwenye maandiko mbalimbali kwa sababu taifa litabaki mkiwa ingawa linawatu ndani yake.
Faida ya kuipenda nchi yako zaidi ya chama chako.
Umoja na ushirikiano kuongezeka
Kuondoa makundi ya kisiasa baada ya uchanguzi.
Kuheshimiana na kupenda
Haki kuongezeka kwa watu wote bila kujali kabila, ukanda au dini
Ni rahisi kuijenga nchi kiuchumi, kisiasa na kijamii ili kuleta maendeleo.
Rahisi kuwashinda maadui wa taifa
Kuondoa ufisadi na rushwa
Wewe unayesoma unachama chako swali nakuuliza unakipenda zaidi unavyopenda taifa lako au chama sio chochote mbele ya taifa lako?? Mahaba haya ya chama yanamanufaa kwa taifa lako?
Taifa lako ndiyo kila kitu kwa sababu taifa lako asili yako ipo ndani ya taifa na sio chama chako kingine taifa haliwezi kufa ila chama kinaweza kufa na vipo vyama vilivyokufa na vipo vyama vilivyozaliwa na vinavyoendelea kuzaliwa.
Nini kifanyike ili watu wapende taifa lako kuliko wanavyopenda vyama vyao.
Tuwajengee watoto kuipenda chini yako tuanze msingi hadi from six na wakifika chuo tuzidi kuwajenga kuipenda taifa lao.
Kuondoa vyama vya siasa vyuoni marufuku siasa vyuoni.
Kupiga marufuku watoto kuwaweka kivyama badala yake tuwaweke au tuwajenge waipende taifa lao.
Kuwe na utofauti kati ya vitu vya kitaifa na vyama, Mambo ya kitaifa yakae kitaifa sio kichama mfano
*Sherehe za kitaifa ziweke kitaifa

Upvote
3